Kila ijumaa ya wiki ya 3 ya mwezi timu ya Tor L10n hukutana na kutafsiri pamoja, kubadilisha mbinu, kufurahi huku wakitafsiri, kukutana na watafsiri wenzako, na kufahamu vipaumbele vya l10n katika Tor Project.

Njoo ujiunge nasi katika Localization Hangout, kuanzia mchana UTC, kwenye #tor-l10n channel in OFTC. (you can also use Element https://element.io/ to connect: #tor-l10n:matrix.org)

Saa 13 UTC tunapiga simu kwa Big Blue Button

Kama wewe bado hujawa mtafsiri, Una muda wa kufanya hivyo kuwa mmoja waokabla ya hangout.

person hanging out

Tunafanya nini kwenye hangout?

  • Tafsiri vitu
  • Sambaza videkezo na nyenzo za tafsiri
  • Lalamika kuhusu watengeneza programu tumizi
  • Zungumzia kuhusu vipaumbele vya tafsiri
  • Zungumzia kuhusu muktadha wetu wa ndani
  • Fanya mazoezi ya kuripoti mdudu na ujuzi wa git