Mwongozo huu utakusaidia kusanidi kiungo cha obfs4 ili kusaidia watumiaji waliodhibitiwa kwenye mtandao wa Tor. Mahitaji ni:
- Muunganisho wa mtandao wa 24/7
- Uwezo wa kufichua bandari za TCP kwenye Mtandao (hakikisha kuwa NAT haiingilii kati)
Kumbuka 1: Ikiwa unatumia jukwaa ambalo halijaorodheshwa kwenye ukurasa huu, unaweza kukusanya obfs4 kutoka chanzo.
Kumbuka 2: Iwapo unapanga kubadilisha rilei iliyopo lakini isiyo ya kiungo kuwa rilei ya kiungo ikibadilisha anwani ya Itifaki wa mtandao, jina na alama ya vidole inashauriwa ili kuepuka ugunduzi rahisi na kuzuiwa na watoa huduma wa mtandao au serikali.
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye Void Linux
Jinsi ya kueneza kiungo cha obfs4 kwa Arch Linux
Jinsi ya kueneza kiungo cha obfs4 kwa CentOS/RHEL
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye Windows
Jinsi ya kupata kiungo kwenye Upekuzi wa Rilei na kuunganisha kwa mikono
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye Debian/Ubuntu
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kutumia kontena ya docker
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwa DragonflyBSD
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwa Fedora
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye FreeBSD
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye NetBSD
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwenye OpenBSD
Jinsi ya kupeleka kiungo cha obfs4 kwa OpenSUSE