This guide will help you set up a standalone Snowflake proxy to help censored users connect to the Tor network. Mahitaji pekee ni muunganisho wa tovuti hata hivyo moja ya faida kuu za proksi zinazojitegemea za Snowflake ni kwamba zinaweza kusakinishwa kwenye seva na kutoa kipimo data cha juu zaidi na chaguo la kuaminika zaidi kwa watumiaji walio nyuma ya NAT na ngome zenye vizuizi. Kwa hivyo, tunapendekeza sana:
cat /proc/sys/net/ipv4/ip_local_port_range
-ephemeral-ports-range
Kuna njia kadhaa za kusanidi na kuendesha proksi inayojitegemea ya snowflake. Please choose your preferred platform below. If you need help to install and operate your Snowflake proxy, visit the Tor Forum.
Jinsi ya kuendesha proksi inayojitegemea ya Snowflake na dhima ya Ansible
How to run a standalone Snowflake proxy with Docker
How to compile and run a standalone Snowflake proxy from the source
How to run a standalone Snowflake proxy on Debian
How to run a standalone Snowflake proxy on FreeBSD